This site uses cookies.
Some of these cookies are essential to the operation of the site,
while others help to improve your experience by providing insights into how the site is being used.
For more information, please see the ProZ.com privacy policy.
Freelance translator and/or interpreter, Verified member
Data security
This person has a SecurePRO™ card. Because this person is not a ProZ.com Plus subscriber, to view his or her SecurePRO™ card you must be a ProZ.com Business member or Plus subscriber.
Affiliations
This person is not affiliated with any business or Blue Board record at ProZ.com.
Access to Blue Board comments is restricted for non-members. Click the outsourcer name to view the Blue Board record and see options for gaining access to this information.
English to Swahili: Amazon Detailed field: Finance (general)
Source text - English This hairstyle is often preferred to make the bride to the wedding, complementing and decorating her with all sorts of wedding decor for hair.
positive results, which are visible after 1-2 applications;
News from our regular e-alert service, keeping clients up to date with breaking news and developments in finance, health care and HR
You can also manually drag the tangent handles.
Trailer sites with Restrooms in Pembrokeshire
The skin is a living organ whose cellular activity maintains its firmness, softness and healthy glow.
Clicking on www.contitech.de/aam first brings up a world map where users can select their region and – in the case of Europe – their preferred language.
Authors related to Frances Dipper
The height of the threshold is 8.6cm
Under Debian GNU/Linux, it is much more likely that your OS can be repaired rather than replaced if things go wrong.
Corruption of a QPC file which is being opened
- Optional: Double clamps (extended height is reduced by 10 cm).
There are also other drops based on lidocaine (Otipax).
In the research division of HP has developed software Facebubble, designed for optical character recognition of people imprinted on the photo. • What happened to the Web-design? »»»
Functional security building: a new security building will be used by the federal police, the regional police, customs and the German Meteorological Service.
Our house is located 400m from the sea, 500m from town center, and 400m from nearest restaurant.
Then it may be the case that you’re “living in your head” and ignore the signals of your body.
09:07:48 Al16 fires, but the bullet impacts the ground
The address of H De Vries Piano Atelier is Nieuwehaven 152 2801 EC Gouda and the entry is attached to the category Musical instruments, accessories.
- Republic of Panama company code: 239494
Access by a single-track road
Return flight Zurich - Venice
The pie chart of 2018-04-12 shows the economic activities of Saint-Germain-sur-Morin in this month.
Information on the respondents will remain confidential.
Reviews and rating of enterprises and services in Regina
Provision of health, social or educational services
To stop xsltdlg645mi.dll permanently uninstall 'xsltdlg645mi.dll Module' from your system.
No, I'm so happy with my figure
Price: 5300 euro for a property
3io - 3io is a company that plans, manages and develops operating activities related to the retail and distribution world.
You can use the Sandbox to validate that the right order information gets passed through to the checkout and payment pipelines.
Established in 1982, Fairfield has developed a reputation for being the market leader in the provision of complete, and affordable auto id solutions including RFID, identification and bar coding as well as supplying a comprehensive portfolio of labeling and packaging solutions.
The Avifauna address is Dorpstraat 8 8670 Koksijde and the business entry is attached to the branche Clothing Accessories.
Blue gloss
When we or our users have found a stream to the channel OCS choc (France) in the free internet, you can watch this channel immediately with our app UlangoTV IPTV Explorer for Android
importing.des and pdt files
Casa Las Escaleritas will be shown on a map if you enable JavaScript.
Also Poroshenko has noted that no alternative to "a Norman format" at the moment exists, and about it there was a speech during the meeting in Berlin.
For its participation in the transaction, Zimtu will receive staged cash and share payments from Galaxy as follows: (i) $3,750 on signing (paid); (ii) $3,750 and 250,000 common shares on acceptance by the TSX Venture Exchange (“TSXv“); (iii) $7,500 and 125,000 common shares 14 months from the date of TSXv acceptance; and (iv) $10,000 and 125,000 common shares 24 months from the date of TSXv acceptance. Zimtu's three prospecting partners will each receive cash and share considerations equal to that of Zimtu.
Finish our selection of christmas WordPress plugin for a plugin … not Christmas. But why present in these columns?
Details of the.xpf file extension
Our hostesses shall disenchant this day by puring the sea of Jack Daniel's Tennessee Whiskey, with crazy beats of the Ola Turoń Band!
Yeah. I'm running for president of Sarah's fan club.
Monk, I solved the case. At least I think I did.
This will enable you to watch movies, on the big screen and play a completely new way in your favorite games.
Cable, TV, DVD, Home Theater System, Decorative Fireplace, Internet, Laundry inside the building, Dryer
Also, our sound engineer likes to be seen and there is no chapter that does not have to remove a few poles and some reflection in crystals.
You are viewing page 6 of 22
To contact Enel Energie SA, click the button below.
Although there are a lot of side effects, people still take these medicines for a fairly long period of time.
30 litres – also suitable for 20 and 25 litre devices.
James Buchanan; December 9, 2002
Translation - Swahili Mtindo huu wa nywele hupendelewa sana katika kumpamba bibi harusi, kumboresha na kumpamba na aina zote za mapambo ya nywele.
matokeo mazuri, yanayoonekana baada ya maombi 1-2;
Taarifa kutoka kwa huduma yetu ya kupokea arifa kielektroniki mara kwa mara, kuwaarifu wateja habari za hivi punde na maendeleo katika Nyanja za fedha, huduma za afya na Rasilimali Watu
Unaweza pia kuburuta vishikilizi vya chuma mwenyewe.
Tovuti za Kionjo zenye vyoo katika eneo la Pembrokeshire
Ngozi ni kiungo hai ambacho shughuli za seli hudumisha uimara, ulaini na unawiri.
Kubofya www.contitech.de/aam kunatokeza ramani ya dunia ambayo watumiaji wanaweza kuchagua eneo na – ikiwa ni bara Ulaya – lugha wanayopendelea.
Waandishi wanaohusiana na Frances Dipper
Urefu wa kingo ni sentimita 8.6
Kwenye program ya Debian GNU/Linux, kuna uwezekano mkubwa wa mfumo wa Uendeshaji kurekebishwa kuliko kubadilishwa hitilafu ikitokea.
Hitilafu kwa faili ya QPC inayofunguliwa
- Si lazima: Vigango viwili (urefu umepunguzwa na sentimita 10).
Kuna matone mengine pia yanayolingana na lidosaini (Otipax)
Katika kitengo cha utafiti cha HP umeendeleza programu ya Uso kwa Uso, iliyoundwa kwa utambuzi wa tabia ya watu waliowekwa kwenye picha • Ni nini kilitokea kwa Usanifu wa Wavuti? »»»
Jengo salama la hafla : jengo jipya salama litatumiwa na polisi wa jimbo, polisi wa mkoa, mamlaka ya kodi Huduma ya metrolojia ya Ujerumani.
Nyumba yetu iko mita 400 kutoka kwa bahari, mita 500 kutoka kituo cha mji na mita 400 kutoka kwa mgahawa wa karibu zaidi.
Basi inaweza kuwa kwamba unaishi "katika kichwa chako" na kupuuza ishara za mwili wako.
09:07:48 Al16 anafanya mashambulizi, lakini risasi inaathiri ardhi
Anwani ya H De Vries Piano Atelier ni Nieuwehaven 152 2801 EC Gouda na ingizo limejumuishwa kwenya kategoria ya Vyombo vya Muziki.
- Msimbo wa kampuni ya Jamuhuri ya Pnama : 239494
Ufikiaji kwa barabara wenye mkondo
Ndege ya kurudi kutoka Zurich - Venice
Chati duara ya 2018-04-12 inaonesha shughuli za kiuchumi za Saint-Germain-sur-Morin mwezi huu.
Maelezo ya waliohojiwa yatasalia kuwa siri.
Ukaguzi na makadirio ya biashara na huduma mjini Regina
Utoaji wa huduma za afya, kijamii au elimu
Ili kusitisha stop xsltdlg645mi.dll kabisa ondoa Moduli ya 'xsltdlg645mi.dll' kwenye programu yako.
Hapana, Ninafurahia sana umbo langu
Bei: euro 5300 kwa jengo
3io - 3io ni kampuni inayopanga, kusimamia na kuendeleza shughuli za uendeshaji zinazohusiana na Nyanja za rejareja na usambazaji.
Unaweza kutumia Uratibu wa Kuweka Vikwazo kuhakikisha kuwa maelezo sahihi ya mpangilio hupitishwa kwa vituo vya ukaguzi na malipo.
Ikiwa imejengwa 1982, Fairfield imeendeleza sifa ya kuwa msatari wa mbele katika utoaji wa huduma kamili na za bei nafuu za kitambulisho cha gari ikiwemo RFID, kitambulisho na msimbo pau pamoja na kutoa huduma za upakiaji na kuweka alama.
Anwanini ya Avifauna ni Dorpstraat 8 8670 Koksijde na kiingilio cha biashara kimejumuishwa kwenye vifaa vya Mavazi ya matawi.
Dondo ya samawati
Sisi au watumiaji wetu tunapopata mkondo wa kituo cha OCS choc (Ufaransa) katika mtandao wa bure, unaweza kutazama kituo hiki mara moja kupitia programu yetu ya UlangoTV IPTV ya Android.
Kuhamisha faili za .des na pdt
Casa Las Escaleritas itaonyeshwa kwenye ramani ikiwa utawezesha JavaScript.
Poroshenko amebaini pia kuwa hakuna mbadala wa "muundo wa Norman" kwa sasa na kulikuwa na hotuba kuuhusu wakati wa mkutano huko Berlin.
Kwa kushiriki katika muamala huu, Zimtu itapokea pesa taslimu na malipo ya kushiriki kutoka Galaxy kama ifuatavyo: (i) $ 3,750 baada ya kujisajili (inalipwa); (ii) $ 3,750 na hisa za kawaida 250,000 baada ya kukubaliwa na TSX Venture Exchange ("TSXv"); (iii) Hisa za kawaida za $ 7,500 na 125,000 miezi 14 kutoka tarehe ya kukubalika kwa TSXv; na (iv) $ 10,000 na hisa za kawaida za miezi 125,000 miezi 24 kutoka tarehe ya kukubalika kwa TSXv. Washirika watatu wanaotarajia wa Zimtu watapata pesa taslimu na hisa sawa na ile ya Zimtu.
Maliza uteuzi wetu wa jalada la krisimasi la Krismasi kwa programu-jalizi… sio Krismasi. Lakini kwa nini uwepo kwenye safu hizi?
Maelezo ya mwendelezo wa faili ya .xpf
Wahudumu wetu watafanikisha siku hii kwa kumimina Wiski ya Jack Daniel's Tennessee na kuporomosha midundo ya Bendi ya Ola Turoń!
Ndiyo. Ninagombea uraisi wa klabu ya burudani ya Sarah.
Mtawa, nilitatua kesi hiyo. Angalau nadhani nilfanikiwa.
Hii itakuwezesha kutazama sinema, kwenye skrini kubwa na kucheza michezo unayoipenda kwa njia mpya kabisa.
Kebo, Runinga, DVD, mfumo wa Muziki, Mahali Pazuri pa Kuoteo Moto, Mtandao, Huduma za dobi kwenye jengo, Kikaushaji
Pia, mhandisi wetu wa sauti anapenda kuonekana na hakuna sura ambayo haifai kuondoa miti michache na tafakari fulani katika fuwele.
Unaangalia ukurasa 6 kati ya 22
Ili kuwasiliana na Enel Energie SA, bofya kitufe kilicho hapa chini.
Licha ya kuwa na athari nyingi, watu bado huchukua dawa hizi kwa muda mrefu.
Lita 30 - pia yanafaa kwa vifaa vya lita 20 na 25.
James Buchanan; Tarehe 9 Desemba, 2002
English to Swahili: Employment Contract General field: Law/Patents Detailed field: Law: Contract(s)
Source text - English EMPLOYMENT CONTRACT
THIS EMPLOYMENT CONTRACT is made and entered into on [DATE] by and between the following parties:
(1) Ecolog International FZE, a company incorporated in the United Arab Emirates (registration number 714) whose registered office is at W38, Dubai Airport Free Zone Authority, PO Box 54464, Dubai, United Arab Emirates (we or us); and
(2) [EMPLOYEE], a national of [COUNTRY] with (passport number [#]) Born on [Birth Date] (you).
1. APPOINTMENT
1.1 Ecolog International FZE will employ you on the terms and conditions set out in this contract.
1.2 Your employment under this contract [started on / will start on] [DATE] and, subject to the terms of this contract, is fixed for the term of [PERIOD] continuing until [DATE] or until it is brought to an end by either you or us giving no less than [#] [week(s) / month(s)] notice. No period of employment with any previous employer counts as part of your period of continuous employment with us.
1.3 Your appointment and your continuing employment are at all times conditional upon you being permitted to work in [COUNTRY] and in accordance with the Ethical Trading Initiative (ETI) Base Code, enclosed to this contract, which is based on the standards of International Labor Organisation (ILO).
2. DUTIES
2.1 You will be employed as [JOB TITLE]. When the business requirements demand, we may move you into another capacity of work or position, subject to and in accordance with the terms of this contract.
2.2 When the business needs demand, you may be required to undertake alternative, additional or ancillary duties, whether in the contracted [COUNTRY] or another region, from time to time or be required to transfer to another part of the business.
2.3 Unless otherwise notified, you will report to [TITLE] (your Manager). We may from time to time change your Manager and you will be informed in advance.
2.4 During your employment you will:
2.4.1 Unless prevented by illness, injury, accident or during an authorised absence, devote your attention and skill during normal working hours to the carrying out of your duties under this contract. You will not be engaged in any activities which would conflict with the proper performance of your duties with Ecolog International FZE or those interests of the Group’s Companies.
2.4.2 Obey all lawful and reasonable directions or instructions from time to time given to you by your Manager or any other authorised person.
2.4.3 Comply with our company rules, regulations, policies and all applicable Quality and Safety policies in force.
2.4.4 Use your best endeavours to promote, develop and protect the, interests and reputation of Ecolog International FZE and those of any Group Company.
2.4.5 Not to use (or allow to be used) your knowledge of or connection with Ecolog International FZE or any Group Company with any of our customers or suppliers for any purpose other than our benefit and business purposes.
3. PROBATIONARY PERIOD
3.1 The first [#] [weeks / months] of your employment will be a probationary period (the Probationary Period), during which we will monitor your performance and conduct.
3.2 If we are not satisfied with your performance or conduct during the Probationary Period, we may, at our discretion, extend the Probationary Period by a period of up to a further [#] [weeks / months]. If so, you will receive confirmation of this extension. Reference to the Probationary Period in this contract includes any extension of it.
3.3 During the Probationary Period, we may end your employment by giving one (1) week’s written notice.
3.4 When you have completed your Probationary Period to our satisfaction, we will confirm your continued employment in writing.
4. HOURS OF WORK
4.1 Your working hours, including overtime, shall not exceed sixty (60) hours per week. Working hours may exceed sixty (60) hours per week only in exceptional circumstances as provided under the ETI Base Code.
4.2 You are eligible for a one (1) hour unpaid break each day, which must be agreed with your Manager in advance.
4.3 We may vary your working hours or the pattern of your normal hours, as we consider necessary to meet the needs of the business.
4.4 You are required to work such additional hours as we deem necessary for the proper performance of your duties. Terms of the total hours worked (including overtime) shall be in accordance with ETI Base Code.
5. SALARY
We will pay you a salary at the rate of United States Dollar [AMOUNT IN WORDS] (USD [#]) per month (the Salary), starting from the date you reported on the timesheet upon arrival to duty (including the arrival date but excluding the days in transit to the country of operation). This will be paid no later than the 15th of the following month to the bank account provided by Employee to us.
5.1 We will pay for the salary transfer charges but we are not responsible for any additional transfer charges nor delays due to incorrect bank details provided by you.
5.2 It is the responsibility of the Employee to ensure that they are tax compliant with all relevant tax authorities. If the authorities enact any kind of tax fee on the Employee’s salary and benefits, it is the responsibility of the Employee to ensure that they remain tax compliant towards any federal, state, local and other tax payments (including, without limitation, interest, fines and penalties) imposed under applicable law both within their home country, offshore and relating to the payments and benefits contemplated by this Employment Contract.
5.3 You authorise us to deduct any sums you owe to us at any time (to include, without limitation, the balance of any season ticket loan, salary, and repayment of pay for holiday taken in excess of your accrued entitlement) from your Salary and/or from any other sums due to you under this contract (to include, without limitation, any payment in lieu of notice, holiday pay or sick pay), at any time during your employment and/or when it ends.
5.4 We shall provide all necessary safety equipment to you and you are required to wear them appropriately during the normal working hours. When departing from the field, either on leave, expiry of this contract or termination, you are required to return all safety equipment to us. If you do not return the safety equipment, then we shall seek reimbursement of the safety equipment costs from you.
6. PLACE OF WORK AND MOBILITY
Your normal place of work will be at [LOCATION] but you agree to perform your duties in such other place or places as we may reasonably require from time to time.
6.1 You understand and accept that you may be exposed to security threats and/or dangers due to the nature of the work, the location of the workplace, and performance of this Employment Contract.
7. PAID AND EMERGENCY LEAVE
7.1 You will be entitled to [#] calendar days’ paid leave after each completed continuous service of [#] months. Paid leave days shall be calculated commencing the next day after you arrive at the point of origin.
7.2 You may be required to work on any statutory or public holidays at our absolute discretion, which we will consider to meet the needs of the business.
7.3 You may at the sole discretion of your Manager, carry forward your paid leave allowance, which must be used by the following holiday year. Leaves shall be paid on the basis of 2/3 of your monthly salary.
7.4 You must give your Manager not less than two weeks' written notice of your proposed paid leave dates. Your Manager must agree your paid leave dates in advance and may refuse a request having regard to the reasonable requirements of the business.
7.5 We reserve the right to require you to take paid leave on particular dates including during any notice period or garden leave. If so, you will be given reasonable notice.
7.6 You are entitled to use emergency unpaid leave during any family matter that requires your presence for a maximum of fourteen (14) days. All travel costs are to be covered by you. We will only cover travel expenses in case of the demise of your parents, sibling(s), spouse(s) and/or children.
Translation - Swahili MKATABA WA KIKAZI
MKATABA HUU WA KAZI umeandikwa na kuanza kutumika [TAREHE] baina ya wahusika wafuatao:
(1) Ecolog International FZE, kampuni ambayo imesajiliwa katika Muungano wa Falme za Kiarabu yenye (nambari ya usajili 714) ambayo ofisi yake imesajiliwa W38, katika Uwanja wa Ndege wa Dubai Airport Free Zone Authority, yenye SANDUKU LA POSTA 54464, Dubai, Muungano wa Falme za Kiarabu (Sisi); na
(2) [MFANYAKAZI], raia wa [NCHI] mwenye (nambari ya paspoti [#]) Aliyezaliwa [Tarehe ya kuzaliwa] (wewe).
1. UTEUZI
1.1 Ecolog International FZE itakuajiri kulingana na sheria na masharti kwenye mkataba huu.
1.2 Ajira yako kwenye mkataba huu [ulianza / utaanza] [TAREHE] na, itazingatia masharti ya mkataba huu, inajikita katika [MUDA] na kuendelea hadi [TAREHE] au hadi itakapositishwa nawe au nasi kwa kupeana ilani isiyopungua [wiki / miezi] [#]. Hatutatumia kipindi chochote cha ulichoajiriwa na mwajiri wa awali katika ajira yako.
1.3 Kila mara Uteuzi na kuajiriwa kwako kutategemea kuruhusiwa kufanya kazi [NCHINI] na kulingana na Sera msingi ya Mpango Maadili ya Biashara (ETI), kwenye mkataba huu, inayotegemea viwango vya Shirika la Kimataifa la Wafanyakazi (ILO).
2. MAJUKUMU
2.1 Utajiriwa kama [CHEO CHA KAZI]. Kutokana na sababu za kikazi, huenda tukakusogeza katika kiwango kingine cha kazi au cheo, kuzingati na kulingana na sharia na masharti ya mkataba huu.
2.2 Kutokana na sababu za kikazi, huenda utahitajika kushughulikia majukumu mbadala, ya ziada au ya msaada, iwe katika [NCHI] iliyoandikwa kwenye mkataba huu au eneo lingine, mara kwa mara au utakapohitajika kuhamishwa katika sehemu nyingine ya kazi.
2.3 Isipokuwa ibainishwe vinginevyo, utaripoti kwa [CHEO] (meneja wako). Huenda tukambadilisha meneja wako mara kwamara ila tutakujulisha mapema.
2.4 Katika kipindi chako cha kuajiriwa uta:
2.4.1 Isipokuwa kwa kuzuiliwa na ugonjwa, jeraha, ajali au kwa kupata idhini ya kutofika kazini, utakabidhi fikra zako na ujuzi wakati wa kazi kutekeleza majukumu yako kwenye mkataba huu. Hutashirika katika shughuli zozote ambazo zinakizana na utekelezaji wako kazi kwenye International FZE au na maslahi ya Kampuni Zenza.
2.4.2 Tii maelekezi au maagizo yote muhimu na ya kisheria unayopewa na meneja au mtu yeyote aliyeruhusiwa mara kwa mara.
2.4.3 Zingatia sheria, kanuni ,sera za Sera husika za Usalama na Ubora.
2.4.4 Fanya kila uwezavyo kuendeleza, kukuza na kulinda maslahi na nidhamu ya Ecolog International FZE na kampuni yoyote husika.
2.4.5 Hutatumia (hutaruhusu utumike) uelewa wako wa au uhusiano wako na Ecolog International FZE au Kampuni yoyote Husika na mteja au wasambazaji bidhaa wowote kwa kusudi lingine isipokuwa kwa faida yetu au sababu za kikazi.
3. KIPINDI CHA MAJARIBIO
3.1 [wiki / miezi] ya kwanza ya kuajiriwa itakuwa kipindi cha majaribio (Kipindi cha Majaribio), ambapo tutatahmini utendakazi na mienendo yako.
3.2 Ikiwa hatutaridhishwa na utendakazi au mwenedo wako katika kipindi cha majaribio, huenda kutegemea uamuzi wetu, tukaongeza Kipindi cha Majaribio hadi muda wa [wiki / miezi] [#] Zaidi. Ikiwa hivyo, utapokea ithibati ya kuongezwa kwa kipindi hiki. Marejeleo kwenye Kipindi cha Majaribio katika mkataba huu yanajumuisha ongezeko lolote la muda.
3.3 Katika Kipindi cha Marajibio, huenda tukasitisha ajira yako kwa kukuandikia ilani ya wiki moja (1).
3.4 Unapokamilisha Kipindi cha Mjaribio na kuturidhisha, tutakuandikia ili kuthibitisha ajira yako.
4. SAA ZA KAZI
4.1 Saa zako za kazi, ikiwemo saa za ziada, hazitazidi saa sitini (60) kila wiki. Saa za kazi huenda zikazidi saa sitini (60) kila wiki katika hali maalum tu na kwa kuzingatia Sera Msingi ya ETI.
4.2 Unastahiki mapumziko ya saa moja (1) usiolipwa kila siku, ambayo sharti ukubaliane na meneja wako mapema.
4.3 Huenda tukabadilisha saa zako za kazi au mtindo wa saa zako za kazi, kila inapohitajika ili kukidhi mahitaji ya kazi.
4.4 Unahitajika kufanya kazi katika muda huu wa ziada tunapokuhitaji kufanya hivyo kwa ajili utendajikazi bora . Sheria na Masharti ya jumla ya saa ulizofanya kazi (ikiwemo saa za ziada) yatazingatia sera ya Msingi ya ETI.
5. UJIRA
Tutakulipa ujira katika kiwango cha Dola ya Marekani [PESA KWA MANENO] (DOLA [#]) kila mwezi (ujira), kuanzia siku ulipojisajili kwenye karatasi ya kuwasilia hadi ulipowasili kazini (ikiwemo tarehe ulipowasili lakini bila kujumuisha siku ulizotumia kusafiri kwenda katika nchi ya utendajikazi). Pesa hii italipwa kabla ya au tarehe 15 ya mwezi utakaofuata kwenye akaunti ya benki tuliyopewa na Mfanyakazi.
5.1 Tugharamia ada ya mchakato wa kukufikishia ujira lakini hatutawajibikia ada zozote za ziada au kuchelewa kwa mchakato kwa sababu ya maelezo yasiyo sahihi ya benki unayopeana.
5.2 Ni jukumu la Mfanyakazi kuhakikisha analipa kodi kwa mamlaka husika. Ikiwa mamlaka ya kodi itamtoza Mfanyakazi ada yoyote kwenye ujira na faida, ni jukumu la Mfanyakazi kuhakikisha analipa kodi zozote za jimbo, nchi, eneo na kodi nyingine (inajumuisha, lakini sio tu, riba, faini na ada ya adhabu) inayotozwa kulingana na sheria husika nchini mwake, ukingo wa bahari na inayohusiana na malipo na faida inayotarajiwa na Mkataba huu wa Kazi.
5.3 Unatuidhinisha kuchukua deni yetu wakati wowote (inajumuisha, lakini sio tu, salio la mkopo wa stakabadhi wa msimu wowote, ujira na malipo ya pesa zaidi ya likizo ulizochukua kuliko unayostahiki) kutoka kwenye ujira wako na au kwa jumla ya pesa zozote unazostahiki kulingana na mkataba huu (inajumuisha, lakini sio tu, malipo yoyote unayopewa unapofutwa bila kuarifiwa mapema , malipo ya likizo au ya matibabu) wakati wowote wa kuajiriwa kwako na au inapoisha.
5.4 Tutakupa vifaa vyote vya usalama unazohitaji na utahitajika kuvivaa nyakati za kazi. Unapoondoka kazini, iwe unaenda mapumzikoni, mkataba huu unapoisha au unapokatishwa, unahitajika kuturudishia vifaa vyote vya usalama, kisha tutakutoza ada ya kurejesha vifaa vya usalama.
6. ENEO LA KAZI NA USAFIRI
Eneo lako rasmi la kazi litakuwa [ENEO] lakini unakubali kufanya kazi katika eneo au maeneo mengine kila unapohitajika kufanya hivyo.
6.1 Unaelewa na kukubaki kuwa huenda ukakumbwa na athari za kiusalama na au hali hatari kwa sababu ya aina ya kazi, eneo la kazi na utendakazi wa Mkataba huu wa Kazi.
7. MAPUMZIKO YA KULIPWA YA DHARURA
7.1 Utapewa mapumziko utakayolipwa ya siku [#] baada ya kukamilisha utendakazi mfululizo wa miezi [#] . Siku za mapumziko zitajumuishwa kuanzia siku inayofuata baada ya kuwasili katika eneo la kazi.
7.2 Huenda ukahitajika kufanya kazi siku za likizo za kitaifa kulingana na uamuzi wetu ili kukidhi mahitaji ya kazi.
7.3 Huenda ukahamisha marupurupu yako ya mapumziko kwa matumizi ya baadaye kutokana na uamuzi wa meneja wako ambayo sharti uitumie katika likizo ya mwaka unaofuata. Utalipwa malipo ya mapumziko ya 2/3 ya ujira wako.
7.4 Sharti umpe Meneja wako ilani isiyo chini ya wiki mbili ya tarehe yako ya kulipwa pesa ya mapumziko. Meneja wako sharti aidhinishe tarehe za kulipwa pesa ya mapumziko mapema na huenda akakataa ombi lako kulingana na mahitaji ya kazi.
7.5 Tuna haki ya kukuhitaji kuchukua mapumziko ya kulipwa katika tarehe maalum ikiwemo wakati wa ilani au mapumziko ya kujiuzulu. Ikiwa hivyo, utapewa ilani mapema.
7.6 Una uhuru wa kutumia mapumziko ya dharura usiyolipwa wakati wa tukio la kijamii ambalo linahitaji uwepo wako kwa muda usiozidi siku kumi na minne (14). Utaghramia gharama zote za safari. Tutagharamia ghrama za safari ikiwa tu umempoteza mzazi, ndugu, mke au mume na au mtoto wako.
English to Swahili: UN Green Environment General field: Science Detailed field: Biology (-tech,-chem,micro-)
Source text - English Around 2,000 people – including senior figures from IBM, Google and Barclays – attend the Second Global Session of the UN Science-Policy-Business Forum Forum launches…
• Around 2,000 people – including senior figures from IBM, Google and Barclays – attend the Second Global Session of the UN Science-Policy-Business Forum
• Forum launches initiatives on using big data, machine learning, and green technology startups, to solve major environmental, economic and social problems
• Forum also launches work on sustainable cities and food systems, and private sector leadership on climate change
09 March 2019 – The UN, tech giants, and the policy, finance and science communities today teamed up to launch major new pushes on using cutting-edge technology to create cleaner, greener and more efficient solutions to sustainable development.
Key figures from these sectors are joining civil society representatives in Nairobi at the second UN Science-Policy-Business Forum on the Environment, meeting for three days in advance of the fourth UN Environment Assembly.
The goal of the Forum is to unite influential organizations and individuals from different sectors in the common goal of using the environment sustainably for the benefit of all. This year, the Forum sees the launch of two major initiatives: the first international Working Group on Big Data and Artificial Intelligence Convergence and the Green Technology Startup Hub.
“There is no doubt that rapid technological advancement played a major part in the troubles we face,” said Joyce Msuya, Acting Executive Director of UN Environment. “But it is that technology – through humanity’s ability to invent and innovate – that can help to save us. The Fourth Industrial Revolution offers a real opportunity to create cleaner, greener and more efficient solutions to sustainable development.”
The working group aims to build an open-source platform for big data on the environment, and to explore new spaces in Artificial Intelligence and machine learning. It unites tech giants, Earth Observation institutions, the science and policy communities, green tech start-ups, citizen scientists and the worlds of finance and industry.
“We can’t ensure implementation of the 2030 Agenda without concrete data, which allows us to identify opportunities, ensure evidence-based decision making, direct investment and track progress,” said Siim Kiisler, President of the Assembly and Minister of Environment for Estonia. “I am confident that we will make immense progress.”
The Green Technology Startup Hub, meanwhile, will act as an accelerator and incubator of start-up innovation for the environment, as it examines the enabling policies and actions required to use such innovation to transform the world into greener and more sustainable living.
Startups are not only transforming markets and economic growth, some are helping to save the planet. Venture capital investment in startups has surged to its highest level ever – $148 billion last year alone. More than 40 Venture Capital-backed companies have achieved billion-dollar valuations
Other new work areas under the Forum will cover sustainable cities and food systems, and private sector leadership on climate change. Potential solutions under consideration include electric mobility and new green building designs, which can maximize efficient use of natural resources and encourage environmentally sound choices. These technologies are critical to our planet’s future, bearing in mind that an estimated 70 per cent of the human population will live in cities by 2050.
NOTES TO EDITORS
About UN Environment
UN Environment is the leading global voice on the global environment. It provides leadership and encourages partnership in caring for the environment by inspiring, informing, and enabling nations and peoples to improve their quality of life without compromising that of future generations. UN Environment works with governments, the private sector, the civil society and with other UN entities and international organizations across the world.
About the Science-Policy-Business Forum
Launched at the UN Environment Assembly in December 2017, the UN Science-Policy-Business Forum on the Environment aims to identify and promote opportunities for green investment that are driven by: advances in science and technology, empowering policies and innovative financing. The Forum, which is entirely self-financed, has over 2,000 member institutions – representing the worlds of business, science and policy – and offers stakeholders an opportunity to showcase vetted green solutions. It also acts as catalyst for collaboration by bringing together the expertise and knowledge of diverse communities to incubate and accelerate action towards a more sustainable future.
For more information, please contact:
Shereen Zorba, Head, Science-Policy Interface and Knowledge Networks, shereen.zorba@un.org, +254 788 526000,
Translation - Swahili Takriban watu 2,000 – wakiwemo watu wenye vyeo vya juu kutoka IBM, Google na Barclays – wanahudhuria Kikao cha Pili cha Dunia cha Kongamano la Sera ya Biashara ya Umoja wa Mataifa Kongamano hili linazindua…
• Takriban watu 2,000 – wakiwemo watu wenye vyeo vya juu kutoka IBM, Google na Barclays – wanahudhuria Kikao cha Pili cha Dunia cha Kongamano la Sera ya Biashara ya Umoja wa Mataifa
• Kongamano hili linazindua mikakati ya kutumia data kubwa, masomo ya kimtambo, na biashara mpya ya teknolojia zinazolinda mazingira, kusuluhisha matatizo ya kimazingira, kibiashara na kijamii
• Kongamano hili pia linazindua mradi wa kuwa na miji na mifumo ya chakula endelevu na uongozi wa sekta za kibinafsi kuhusu mabadiliko ya hali ya anga
Tarehe 09 March 2019 – Mabingwa wa teknolojia, katika Umoja wa Mataifa,na jamii za sera, fedha na sayansi waliungana kuzindua misukumo mipya kuu kuhusu kutumia teknolojia muhimu kuunda suluhu safi, zinazolinda mazingira na faafu zaidi ili kufikia maendeleo endelevu.
Wakuu kutoka sekta hizi wanaungana na wawakilishi wa chama cha kiraia Jijini Nairobi katika Kikao cha Nne cha Mazingira ya Umoja wa Mataifa.
Lengo la Kongamano hili ni kuunganisha mashirika maarufu na watu kutoka sekta mbalimbali katika lengo moja la kutumia mazingira kwa uendelevu kwa manufaa ya kila mmoja. Mwaka huu, Kongamano hili linashuhudia uzinduzi wa mikakati miwili mikuu: Kundi la kwanza Linaloshughulikia Data Kubwa na Kuunganisha Akili isiyo Asilia na Kituo cha Biashara mpya ya Teknolojia Inayolinda Mazingira.
“Ni dhahiri kuwa kukua kwa teknolojia kwa kasi kulichangia pakubwa katika matatizo tunayokumbana nayo,” alisema Joyce Msuya, Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Mazingira ya Umoja wa Mataifa. “Lakini ni teknolojia hii hii – kupitia kwa uwezo wa binadamu wa kuvumbua na kubuni – ndio inayoweza kutuokoa. Mapinduzi ya Nne ya Viwanda inatoa fursa wazi ya kuunda suluhu safi zaidi, zinazolinda mazingira na faafu zaidi kufikia maendeleo endelevu.”
Kundi linaloshughulikia suala hili linalenga kujenga jukwa chanzo huria la data kubwa katika mazingira, na kugundua nafasi mpya katika Akili Isiyo Asili na masomo ya kimtambo. Inaunganisha mabingwa wa teknolojia, Mashirika ya Kuchunguza Ardhi, jamii za sayansi na sera, biashara mpya za teknolojia zinazolinda mazingira, wanasayansi raia na ulimwengu wa fedha na viwanda.
“Hatuwezi kuhakikisha utekelezaji wa Agenda ya 2030 pasipo data madhubuti, inayotuwezesha kutambua fursa, kuhakikisha tumefanya uamuzi unaotegemea ithibati, uwekezaji wa moja kwa moja na ufuatilizi wa hatua,” alisema Siim Kiisler, Rais wa Baraza hili na Waziri wa Mazingira wa Nchi ya Estonia. “Nina uhakika kuwa tutafanya maendeleo makubwa.”
Kwa sasa Kituo cha Biashara za Teknolojia zinazolinda Mazingira, kitatumika kama kiongeza kasi na kiangulia cha ubunifu mpya wa mazingira, kinapochunguza sera na hatua zinazohitajika ili kutumia ubunifu huu kubadilisha ulimwengu kuwa na mazingira bora na kuwezesha maisha endelevu.
Biashara mpya hazibadilishi tu masoko na maendeleo kibiashara, zingine zinasaidia kuokoa sayari hii. Uwekezaji wa Mtaji katika biashara mpya umeongezeka na kufikia upeo wa juu zaidi wa – bilioni $148 mwaka jana pekee. Zaidi ya kampuni 40-Zinazotegemea Mtaji Kubwa zimefikia thamani ya dolla -bilioni
Sehemu nyingine mpya ya kushughulikiwa katika Kongamano zitashughulikia miji na mifumo ya chakula endelevu na uongozi wa kibinfasi katika mabadiliko ya hali ya anga. Suluhu muhimu za kuzingatiwa zinajumuisha kutumia magari yanayotumia umeme na mitindo mipya ya majengo yanayolinda mazingira, yanayoweza kuboresha matumizi ya rasilimali asilia kwa ufaafu na kuhimiza chaguo za kubasra za kimazingira. Teknolojia hizi ni muhimu sana kwa maisha ya baadaye ya sayari yetu, tukikumbuka kwamba takriban asilimia 70 ya idadi ya watu wataishi katika miji kufikia mwaka wa 2050.
VIDOKEZO KWA WAHARIRI
Kuhusu Mazingira ya Umoja wa Mataifa
Mazingira ya Umoja wa Mataifa inaongoza katika kulinda mazingira ulimwenguni kote. Inatoa uongozi na kuhimiza ushirikiano katika kutunza mazingira kwa kuchochea, kueleimisha na kuwezesha mataifa na watu kuboresha maisha bila kuharibu maisha ya vizazi vijazo. Mazingira ya Umoja wa Mataifa inafanya kazi pamoja na serikali, sekta za kibinafsi , chama cha kirai na mashirika mengine ya Umoja wa Mataifa na ya Kimataifa kote ulimwenguni.
Kuhusu Kongamano la Biashara la Sera ya Kisayansi.
Baada ya kuzinduliwa rasmi katika Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa Disemba 2017, Kongamano la Biashara la Sera ya Kisayansi la Umoja wa Mataifa linalenga kutambua na kuendeleza fursa za uwekezaji katika biashara zinazolinda mazingira zinazoendeshwa na: maendeleo katika sayansi na teknolojia, kuwezesha sera na ufadhili katika ubunifu. Kongamano hili, ambalo linajifadhili kikamilifu, lina zaidi ya taasisi 2000 husika – zinazowakilisha ulimwengu wa biashara, sayansi na sera – na kuwapa washikadau fursa za kuonesha suluhu za biashara zilizotathminiwa zinazolinda mazingira. Linatumika pia kama kichocheo cha ushirikiano kwa kuleta pamoja utaalamu na maarifa ya jamii mbalimbali ili kuangua na kuharakisha hatua za kufikia maisha endelevu ya baadaye.
Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasilianan na:
Shereen Zorba, Mkuu wa, Science-Policy Interface and Knowledge Networks, shereen.zorba@un.org, +254 788 526000,
English to Swahili: HEROBLACK Detailed field: Marketing
Source text - English Slo-mo pro.
4K60 and 1080p240 video enable stunning slow-motion playback of your highlights.
Swim naked.
Go for it. HERO6 Black is waterproof without a housing down to 33ft (10m).
“GoPro, start recording.”
Take hands-free control of your GoPro using simple voice commands.
Buttery smooth.
Capture super smooth footage with our most advanced image stabilization ever.
Touch zoom. Boom.
Get closer to the action just by touching the screen.
Nightlife.
Get busy after dark with impressive low-light performance and night photo modes.
Wear it. Mount it. Love it.
Tap into 30+ accessories to capture shots you can only get with a GoPro.
Easy access.
With a GoPro Plus subscription, HERO6 Black can auto upload your footage to the cloud for convenient access anytime, anywhere.2
Translation - Swahili Kipengele cha mwendopole.
Kipengele cha ubora wa 4K60 na 1080p240 kinakuwezesha kucheza video za kuvutia katika mwendopole.
Ogelea ukiwa nayo.
Jichukulie yako. HERO6 Black haipenyezi maji na unaweza kuingia nayo majini hadi umbali wa futi 33 (mita 10).
“Anza kurekodi kwa kutumia GoPro.”
Dhibiti GoPro yako kwa kutumia amri ya kutamka bila kuigusa.
Ibadilishe kwa urahisi.
Nasa video laini zaidi ukitumia kipengele chetu cha hali ya juu cha kuimarisha video.
Gusa kitufe cha kuvuta karibu. Itakuza papo hapo.
Vuta karibu unachoangazia kwa kugusa tu skrini.
Itumie usiku.
Tumia kipengele bora cha utendaji wa kutumia mwanga kidogo na hali ya picha ya usiku ili uweze kuendeleza shughuli zako hata baada ya giza kuingia.
Imiliki Ipachike Itakuvutia.
Kuna zaidi ya vipengele 30 vinavyokuwezesha kupiga picha zinazoweza kupigwa tu na GoPro.
Ifikie kwa urahisi.
Kwa kutumia usajili wa GoPro Plus, HERO6 Black inaweza kupakia video yako kwenye wingu kiotomatiki ili uweze kuifikia kwa urahisi, wakati wowote.2
English to Swahili: HERO 6 General field: Marketing Detailed field: Marketing
Source text - English HERO6 Black and the GoPro app automatically transform your experiences into sharable QuikStories right on your phone.1 With 2x the performance, voice control and a waterproof design, you’re now free to live life and have the story to share it.
Features + Benefits
Suggested Moments Analyzes your footage to find great moments, then sends the best clips to your phone for amazing QuikStories.
Best-Ever Image Quality
With an all-new GP1 chip optimized for GoPro capture, HERO6 Black delivers incredible image quality and ultra smooth stabilized footage.
Faster Offload Speeds Featuring 5GHz Wi-Fi, you can copy photos and videos over to your phone faster than with HERO5 Black.2
Ultra Durable HERO6 Black can take it while also taking great photos and video.
2-Inch Touch Display The 2-inch touch display with an updated UI makes it easier than ever to zoom in, change settings and play back footage.
Electronic Image Stabilization Stabilizes your video footage as you capture it.
GPS HERO6 Black captures your GPS path, speed, elevation gain and more. Add your stats to your videos in the Quik desktop app.
Translation - Swahili HERO6 Black na programu ya GoPro hubadilisha picha zako kiotomatiki kuwa QuikStories unazoweza kushiriki kwenye simu yako.1 Kutokana na utendakazi kuboreshwa mara 2, kipengele cha kudhibiti ukitumia sauti na muundo usiopenyeza maji, sasa unaweza kufurahia na kushiriki matukio.
Vipengele na Manufaa
Matukio Yanayopendekezwa Inachanganua video yako ili kupata matukio bora na kutuma video bora zaidi kwenye simu yako kwa masimulizi ya kuvutia ya QuikStories.
Picha ya Ubora wa Juu Zaidi
Kwa kutumia chipu mpya ya GP1 iliyoboreshwa ili kutumika kwenye GoPro, HERO6 Black inakupa picha maridadi na video thabiti kabisa.
Uwezo wa Kupakua Haraka Kwa kutumia kipengele cha Wi-Fi ya 5GHz, unaweza kunakili picha na video kwenye simu yako haraka kuliko HERO5 Black.2
Hudumu Zaidi HERO6 Black inaweza kudumu zaidi huku ikinasa picha na video bora.
Skrini ya Kugusa ya Inchi 2 Skrini ya kugusa ya inchi 2 na kiolesura kilichosasishwa hukuwezesha kuvuta, kubadilisha mipangilio na kucheza video za nyuma kwa urahisi zaidi.
Kipengele cha Kielektroniki cha Kuimarisha Picha Huimarisha video unapoinasa.
GPS HERO6 Black hunasa njia ya GPS, kasi, kiasi cha mwinuko na mambo mengine. Weka takwimu zako kwenye video zako katika programu ya eneo-kazi la Quik.4
More
Less
Translation education
Master's degree - University of Nairobi
Experience
Years of experience: 8. Registered at ProZ.com: Jul 2018. Became a member: Mar 2020.
Get help on technical issues / improve my technical skills
Learn more about additional services I can provide my clients
Stay up to date on what is happening in the language industry
Help or teach others with what I have learned over the years
Network with other language professionals
Learn more about the business side of freelancing
Improve my productivity
Bio
Hello!
I am a graduate in Linguistics; Swahili language from the University of Nairobi. I am a Freelance English-Swahili translator/editor who also does Luo-English translation.
I have been translating for 6 years and 4 months now specializing in Law and Education, IT/Multimedia, Medical/Health, Business & General.
I have translated for notable clients such as Uber, Amazon, Google, Coca-cola, Translators Without Borders, UN, Redcross, Microsoft, among others.
I provide high quality translations, stay in touch with the client for any project updates, ask questions when need be and offer very competitive rates. My goal is to make translation read naturally and easily. Feel free to contact me for localization and translation to open the gates for you into Swahili speaking Eastern Africa.
Best,
Emmanuel Edlet
Keywords: Medical, IT, Legal, Business, Education, General & International organisation
This profile has received 57 visits in the last month, from a total of 50 visitors