A theme of the age, at least in the developed world, is that people crave silence and can find none. The roar of traffic, the ceaseless beep of phones, digital announcements in buses and trains, TV sets blaring even in empty offices, are an endless battery and distraction. The human race is exhausting itself with noise and longs for its opposite—whether in the wilds, on the wide ocean or in some retreat dedicated to stillness and concentration. Alain Corbin, a history professor, writes from his refuge in the Sorbonne, and Erling Kagge, a Norwegian explorer, from his memories of the wastes of Antarctica, where both have tried to escape.
And yet, as Mr Corbin points out in "A History of Silence", there is probably no more noise than there used to be. Before pneumatic tyres, city streets were full of the deafening clang of metal-rimmed wheels and horseshoes on stone. Before voluntary isolation on mobile phones, buses and trains rang with conversation. Newspaper-sellers did not leave their wares in a mute pile, but advertised them at top volume, as did vendors of cherries, violets and fresh mackerel. The theatre and the opera were a chaos of huzzahs and barracking. Even in the countryside, peasants sang as they drudged. They don’t sing now.
What has changed is not so much the level of noise, which previous centuries also complained about, but the level of distraction, which occupies the space that silence might invade. There looms another paradox, because when it does invade—in the depths of a pine forest, in the naked desert, in a suddenly vacated room—it often proves unnerving rather than welcome. Dread creeps in; the ear instinctively fastens on anything, whether fire-hiss or bird call or susurrus of leaves, that will save it from this unknown emptiness. People want silence, but not that much. | Mada ya umri, angalau kwa kwa nchi zilizoendelea ambapo watu wanatamani utulivu na hawaupati.Mirindimo ya magari barabarani, miito isiyoisha ya simu za mkononi, matangazo ya kidigitali kwenye mabasi na garimoshi,Luninga zinazopiga kelele kwenye ofisi zisizo na watu ni wazimu usio na mwisho. Mashindano ya mwanadamu ni kujichosha mwenyewe na makelele na kusubiria kinyume chake, iwe porini , baharini au kwenye utulivu wa kuweza kufikiri. Alain Corbin ni profesa wa historia, aliandika akiwa ukimbizini huko Sorbonne,Erling Kagge ambaye ni mpelelezi wa kinorwei katika kumbukumbu zake katika ardhi ya Antarctica ambako walijaribu kutoroka. Kama bwana Corbin alivyobainisha katika "Historia ya Ukimya",inawezekana hakuna tena kelele kama ilivyokuwa awali. Kabla ya matairi hewa, mitaa ya jiji ilikuwa na magurudu ya chuma yasiyotoa kelele na viatu vya farasi juu ya mawe.Kabla ya kujitoa kwa hiari kwenye milio ya simu za mkononi , mabasi na garimoshi. Wauza magazeti hawakuuza magazeti kimya bali walitangaza tena kwa kupaza sauti ya juu kama wafanyavyo wachuuzi wa matunda kama cheri, urujuani na wachuuzi wa samaki.Jumba la maonyesho na maigizo lilijawa shangwe na zomea zomea.Sehemu za mashambani wakulima wanaimba huku wakifanya kazi ngumu. Siku hizi hawaimbi. Kilichobadilika siyo kiwango cha makelele, ambapo zama za kale walilalamikia pia, lakini tatizo ni kiwango cha wazimu au fadhaa ambacho kinatawala nafasi ambayo utulivu unaweza kuingilia.Kuna ukinzani unaojitokeza , kwasababu kimya kitakapovamia kwenye kina cha msitu, jangwaau chumba kilichowazi hali hiyo itafadhaisha au kuogofya. Nyemelea ndani kwa uwoga:masikio yapo tayari kusikia chochote iwe mlio wa moto au ndege au jani ambao utasaidia kuondoa huu ukimya.Watu wanahitaji utulivu lakini si kwa kiwango hiki. |